Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Agape Aids Control Programe, John Myola akitoa maelezo kuhusu shughuli za shirika lake mbele ya ...
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AAHIDI NEEMA YA BARABARA JIMBONI USHETU
SERIKALI inakusudia kuzifanyia ukarabati mkubwa barabara muhimu zilizopo katika jimbo la Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga ...
BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU NCHINI
Profesa Benno Ndulu. RAIS Dkt. John Pombe Magufuli leo hii amemteua Profesa Florenss Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania badala ...
BREAKING NEWS: MANJI AACHIWA HURU, SERIKALI YASEMA HAINA SHIDA YA KUENDELEA NA KESI
MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI DAR, YUSUF MANJI NA WENZAKE WATATU WAACHIWA HURU.
PROGRAM YA "USAWA WA KIJINSIA KUJENGA UWEZO KIUCHUMI WANAWAKE NA VIJANA YAZINDULIWA SHINYANGA.
Wadau wakisikiliza kwa umakini mkubwa maelezo ya awali juu ya uzinduzi wa Program ya Usawa wa Kijinsia kujenga uwezo wa kiuchumi kw...
WAZAZI/WALEZI WATAJWA KUWA CHANZO CHA KUPOROMOKA MAADILI YA VIJANA NCHINI
BAADHI ya wazazi nchini wametajwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa maadili kwa watoto wao kutokana na kutowalea kimaadili tangu...
SHIRIKA LA RAFIKI - SDO LAWAPIGA "JEKI" MABINTI WA MAKUNDI MAALUMU
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga, Josephine Matiro (wa pili kutoka kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja kwa wana kiku...
WANACHAMA WA TUGHE KITUO CHA AFYA KAMBARAGE WAMPONGEZA DKT. MAGUFULI
Wanachama wakiimba wimbo wa Solidarty kabla ya kuanza mkutano. Katiba ya TUGHE RAIS Dkt. John Magufuli amepongezwa kwa ...
SERIKALI MKOANI SHINYANGA YATOA SIKU 14 KWA SEKTA BINAFSI KUTEKELEZA SHERIA ZA KAZI
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack akihutubia mamia ya wafanyakazi wa mkoa wa Shinyanga katika sherehe za Mei Mosi - 2017. ...
MBUNGE APINGA AGIZO LA MKUU WA MKOA, ASEMA LINAKIUKA AGIZO LA RAIS MAGUFULI
Mbunge wa Jimbo la Solwa, Ahmed Salum. Baadhi ya familia za wachimbaji wadogo walioko katika kitongoji cha Mahiga kata ya ...
TAKUKURU SHINYANGA YAKUNJUA MAKUCHA, YABURUZA MAHAKAMANI WALIOBUGIA MIL.63.4
Kamanda wa TAKUKURU mkoani Shinyanga, Gasto Mkono akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. TAASISI ya Kuzuia na...
WAZIRI DKT. TIZEBA, ATEMBELEA KIJIWE CHA KAHAWA, ASISITIZA SERIKALI HAITOTOA CHAKULA CHA BURE
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba (aliyeinua mikono) akizungumza na baadhi ya wakazi wa mji wa Shinyanga k...
CWT YAPINGA AGIZO LA SERIKALI KUHUSU WALIMU WA SEKONDARI KUFUNDISHA MSINGI
Mmoja wa walimu wa shule ya msingi akiwa kazini. WALIMU wa sekondari hawana mbinu za ufundishaji wa shule za msingi, hawakuf...
ANNE KILANGO AANZA KUTEMA CHECHE BUNGENI!!
Mbunge wa kuteuliwa na Rais, Anne Kilango Malecela. Mpango kazi wa taifa la Tanzania wa kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na...
WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA ATWISHWA ZIGO - ASHAURIWA AMSHAURI JPM
Waziri mpya wa Sheria na Katiba nchini, Profesa Palamagamba Kabudi SIKU chache baada ya kuteuliwa kushika wadhifa wa wizara...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAWAFAGILIA KASHWASA KWA KAZI NZURI
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji, Kilimo na Mifugo, Mary Nagu (wa tatu kutoka kushoto) akiwaongoza wajumbe wengine ...
MGEJA AJITOSA SAKATA LA NAPE, AMTAKA WAZIRI MKUU AWAOMBA RADHI WATANZANIA
Nape Nnauye akiwahutubia waandishi wa habari akiwa amesimama juu ya gari lake baada ya kikao chake cha ndani kupigwa "STOOOP...
SERIKALI YASHAURIWA KUUZA MAHINDI AMBAYO YAPO KATIKA HATARI YA KUHARIBIKA
Sehemu ya magunia ya mahindi yaliyohifadhiwa kwenye ghala la NRFA kanda ya Shinyanga ambayo wabunge yanaonesha dalili za kuanza kub...
UELEWA MDOGO WA ELIMU YA AFYA YA UZAZI HUCHANGIA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI
Wazazi na walezi kutoka vijiji vitano vya kata ya Usanda walioshiriki kikao cha kutambulisha mradi wakifuatilia mada zilizowasili...
SHIRIKA LA AGAPE LAHAMASISHA UJENZI WA VYUMBA VYA HIFADHI YA WATOTO WA KIKE MASHULENI
Baadhi ya watoto wa shule ya msingi Shingida wilayani Shinyanga wakijiandaa kurejea nyumbani baada ya kukamilisha masomo yao ya si...













