Makao Makuu ya Vatican City. Papa Francis ameagiza marufuku ya uuzaji wa sigara ndani ya Vatican , kuanzia mwaka ujao.
KIVULINI WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE KWA KUTOA MAFUNZO KWA WANAMABADILIKO - SHINYANGA.
Vaileth Elisa - Ofisa miradi msaidizi - Shirika la Kivulini akiendesha zoezi la utambulisho kwa washiriki. SHIRIKA la Kivulini ...
WANA CHADEMA KANDA YA SERENGETI WATOA TAMKO LA KUMLAANI MTU ASIYEJULIKANA
Katibu wa CHADEMA kanda ya Serengeti, Renatus Nzemo akitoa tamko rasmi mbele ya waandishi wa habari (hawako pichani) la kulaani k...
MAAJABU YA DUNIA, ETI MBU NAO HUVUTIWA NA VITU VITAMU!!!
Kijiji kilichoathirika na ugonjwa wa malaria nchini Tanzania kikitibiwa na Vetrax Je wajua kwamba mbu huvutiwa na vitu...
BREAKING NEWS: MOTO WATEKETEZA MABANDA YA MBAO SHINYANGA
Moja ya banda la kuuzia mbao katika eneo la Soko la Kambarage manispaa ya Shinyanga likiwa lote limeteketea kwa moto MOTO ambao hai...
HABARI NYEPESI NYEPESI: BAADA YA HALI KUWA NGUMU, WAZAZI SASA KULIPA KARO ZA SHULE KWA MBUZI NA KONDOO!!
Mbuzi kulipwa kama karo Zimbabwe. Wazazi nchini Zimbabwe ambao hawawezi kugharimia karo ya shule wanaweza kupeleka mifugo wao...
HABARI NYEPESI NYEPESI: WANAWAKE 100 WAANDAMANA KUPINGA MASHAMBULIO DHIDI YA POLISI
Maandamano ya wake wa polisi nchini Ufaransa. Zaidi ya wanawake 100 ambao ni wake wa askari polisi wakiwa na washirika wao wa...
BINADAMU AIBUKA NA MBINU MPYA YA KUATAMIA MAYAI BADALA YA KUKU!
Abraham Poincheval akiwa ameatamia mayai ya kuku. Msanii kutoka Ufaransa Abraham Poincheval anaendelea kutamia mayai ya k...
BREAKING NEWS!!!: MAALIMU SEIF SHARIFF HAMADI, AVULIWA UKATIBU MKUU CUF!!
Baraza kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua, Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.
BINT WA MIAKA SABA WA ALEPPO AMLIMA BARUA RAIS TRUMP
BANA ALABED - AMWANDIKIA BARUA RAIS TRUMP. Bana Alabed, msichana wa miaka saba kutoka Aleppo ambaye alipata umaarufu duni...
KIMAIRA: KIINITETE CHA BINADAMU NA NGURUWE CHAKUZWA MAREKANI
KIINITETE CHENYE MCHANGANYIKO WA VINASABA VYA BINADAMU NA NGURUWE Viinitete ambavyo ni 0.001% ya binadamu na sehemu iliyosalia n...
TOOOBAAA!!! TUMBILI AFUMANIWA HUKO JAPAN
Tumbili aliyefanya majanga ya aina yake. Tumbili mmoja kutoka Japan amerekodiwa katika kanda ya video akijaribu kufanya mapenzi...
SUNGUSUNGU WATEMBEZA BAKORA KIJIJI KIZIMA, WANAKIJIJI WAMPIGA CHINI MWENYEKITI SERIKALI YA KIJIJI!
Mmoja wa wahanga wa viboko vya walinzi wa Jadi (Sungusungu), John Kitumbo mkazi wa kijiji cha Welezo kata ya Nsalala wilayani Shinyan...
BREAKING NEWS: HATIMAYE RAIS DKT. MAGUFULI AMKUMBUKA LYATONGA MREMA, AMPA ULAJI SEREKALINI
Augustine Lyatonga Mrema, mwenyekiti TLP Taifa. Rais Dkt. John Magufuli ameendelea kupanga safu yake ya uongozi katika awamu ya tano...
MAJAMBAZI YASABABISHA BASI KUPINDUKA!!! WATANO WAFARIKI AJALINI!!!
BREAKING NEWS!!! MAJAMBAZI YASABABISHA AJALI - MWANZA.
NEMC WATEMA CHECHE, UKITAKA KUPIGA MZIKI, KIGODORO KWA SAUTI YA JUU, LIPIA SHS. MIL.10
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazing...
HABARI ZA HIVI PUNDE!! WANAJESHI 23 WAFA BAADA YA JENGO KUPOROMOKA, 19 WAOKOLEWA.
Takriban wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia baada ya jengo la kambi ya kijeshi kuporomoka.
HABARI ZA KUTISHA: MAJAMBAZI YAVAMIA KITUO CHA POLISI, SABA WAHOFIWA KUFA PAPO HAPO!!!
Mmoja wa watu waliouawa katika tukio la kutisha. Watu wanaodhaniwa kuwa majambazi yamevamia Kituo cha Polisi cha Stakishari , U...
UTANI MWINGINE BWANA, MHHU!! NOOOOMAAA!!! MZEE WA:- "WAPIGWEEE TUUU!" NAYE APIGWA CHALI!!!
Mheshimiwa Mizengo Kayanda Pinda, naye apata kipigo cha kitaalamu, chaaaaaliiiiiii!! urais kuusikia magazetini tu.
BREAKING NEWSSSSS! BONDIA BINGWA WA DUNIA, WELTER FLOYD MAYWEATHER, APOKONYWA UBINGWA!!!
Bingwa wa ngumi wa uzito wa juu duniani, Welter Floyd Mayweather. Bondia Bingwa wa dunia wa uzani wa Welter Floyd Mayweather ame...



















