Augustine Lyatonga Mrema, mwenyekiti TLP Taifa.

Rais Dkt. John Magufuli ameendelea kupanga safu yake ya uongozi katika awamu ya tano ya serikali hapa nchini.



Rais Magufuli afanya uteuzi wa Viongozi na watendaji wa taasisi za Serikali,awapandisha vyeo maafisa wa Polisi. 

Katika kupanga safu hiyo hatimaye amekumbuka moja ya ahadi au ombi alilopewa wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2015 alipokuwa mkoa wa Kilimanjaro.

Hivyo Mhe. Augustino Lyatonga Mrema ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole nchini.


Chanzo:  ITV Televisheni.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top