Watu wanaodhaniwa kuwa
majambazi yamevamia Kituo cha Polisi cha Stakishari , Ukonga, Dar es Salaam na
kuuwa askari wanne na raia wawili akiwemo mmoja ambaye inadaiwa naye ni jambazi.
Pia katika tukio hilo
lililotokea majira ya saa nne usiku jana, majambazi hao wanadaiwa kupora zaidi
ya bunduki 15. Watoto waliohifadhiwa kituoni hapo kwa ajili ya kuwatafuta ndugu
zao, inadaiwa wamenusurika.
Kwa mujibu wa mashuhuda
walidai kuwa mapambano ya uvamizi huo yalidumu kwa takribani saa moja.
Kwa mujibu wa taarifa
za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la Polisi ni kwamba watu hao
walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki wakidai kwamba walikuwa wamembeba
mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla
na kuanza kuwashambulia kwa risasi.
Tayari hivi sasa katika
eneo hilo limewekwa alama za usalama na barabara zinazoingia katika kituo hicho
zimefungwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Saidi Sadick ameshafika na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, pia
amewasili kituoni hapo kujua kulikoni Mtandao huu uliongea na Kamanda wa Polisi
Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alisema atakuwa na mkutano na
wanahabari kati ya saa 5 au 6 leo kwa ajili ya kutoa taarifa rasmi juu ya tukio
hilo la kigaidi.
Watu wanaodhaniwa kuwa
majambazi yamevamia Kituo cha Polisi cha Stakishari , Ukonga, Dar es
Salaam na kuuwa askari wanne na raia wawili akiwemo mmoja ambaye
inadaiwa naye ni jambazi.
Pia katika tukio hilo lililotokea majira ya saa nne usiku jana,
majambazi hao wanadaiwa kupora zaidi ya bunduki 15.
Watoto waliohifadhiwa kituoni hapo kwa ajili ya kuwatafuta ndugu zao,
inadaiwa wamenusurika.
Kwa mujibu wa mashuhuda walidai kuwa mapambano ya uvamizi huo yalidumu
kwa takribani saa moja.
Kwa mujibu wa taarifa za awali ambazo bado hazijathibitishwa na Jeshi la
Polisi ni kwamba watu hao walifika kituoni hapo wakiwa katika pikipiki
wakidai kwamba walikuwa wamembeba mtu aliyepata ajali wakihitaji msaada
wa polisi kabla ya kuwabadilikia ghafla na kuanza kuwashambulia kwa
risasi.
Tayari hivi sasa katika eneo hilo limewekwa alama za usalama na barabara
zinazoingia katika kituo hicho zimefungwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Sadick ameshafika na Mkuu wa Wilaya
ya Ilala, Raymond Mushi, pia amewasili kituoni hapo kujua kulikoni
Mtandao huu uliongea na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,
Suleiman Kova aliyesema atakuwa na mkutano na wanahabari kati ya saa 5
au 6 leo kwa ajili ya kutoa taarifa rasmi juu ya tukio hilo la kigaidi.
Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Source: Mwaikenda blog.

Post a Comment