KIINITETE CHENYE MCHANGANYIKO WA VINASABA VYA BINADAMU NA NGURUWE

Viinitete ambavyo ni 0.001% ya binadamu na sehemu iliyosalia ni nguruwe, vimekuzwa na wanasayansi nchini Marekani.

 
Hicho ni kisa cha kwanza kwa viumbe ambao ni mseto wa binadamu na viumbe wengine kuzalishwa kwa kuunganisha sehemu kutoka kwa binadamu na viumbe vingine.

Lengo limekuwa kujaribu kubaini iwapo inawezekana viungo vya binadamu kukuzwa kwenye wanyama.

Chanzo:  BBC News


Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

27 Jan 2017

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top