"Lazima
uchukue hatua kuhusu watoto wa Syria kwani ni sawa na watoto wako mwenyewe na
wanahitaji amani kama wewe mwenyewe," ameandika.
"Nikiwa
Aleppo sikuweza kucheza. Aleppo ulikuwa mji wa mauti."
Bana alifanikiwa
kuondoka Aleppo pamoja na familia yake Desemba wakati wa mpango mkubwa wa
kuwaondoa raia maeneo yaliyodhibitiwa na waasi.
Kwa sasa
anaishi Uturuki.
Ukurasa wake wa
Twitter ulipata umaarufu sana kutokana na ujumbe alioandika akiwa maeneo ya mashariki
mwa Aleppo wakati maeneo hayo yalikuwa yamezingirwa na wanajeshi wa serikali.
Mamake, Fatemah -
ambaye amekuwa akimsaidia kuandika ujumbe kwenye ukurasa huo wake - ametuma
nakala ya barua hiyo kwa BBC.
Anasema Bana
aliandika barua hiyo siku kadha kabla ya Trump kuapishwa kuwa rais, kwa sabbau
alikuwa "anamuona Trump mara nyingi kwenye runinga.
Chanzo: BBC
News
Soma Pia Habari Hizi Hapa
- HABARI ZA HIVI PUNDE: PAPA FRANCIS ATEMA "CHECHE" VATICAN, ATETEA AFYA ZA WAUMINI10 Nov 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
- KIVULINI WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE KWA KUTOA MAFUNZO KWA WANAMABADILIKO - SHINYANGA.11 Oct 20170
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4...Read more ?
- WANA CHADEMA KANDA YA SERENGETI WATOA TAMKO LA KUMLAANI MTU ASIYEJULIKANA10 Sep 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
- MAAJABU YA DUNIA, ETI MBU NAO HUVUTIWA NA VITU VITAMU!!!24 Aug 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
- BREAKING NEWS: MOTO WATEKETEZA MABANDA YA MBAO SHINYANGA29 Apr 20170
Moja ya banda la kuuzia mbao katika eneo la Soko la Kambarage manispaa ya Shinyanga likiwa lote ...Read more ?
- HABARI NYEPESI NYEPESI: BAADA YA HALI KUWA NGUMU, WAZAZI SASA KULIPA KARO ZA SHULE KWA MBUZI NA KONDOO!!23 Apr 20170
Normal 0 21 false false false SW X-NONE X-NONE ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Shukran sana
ReplyDelete