Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Agape Aids Control Programe, John Myola akitoa maelezo kuhusu shughuli za shirika lake mbele ya madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba - Singida. Makao makuu ya…
NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AAHIDI NEEMA YA BARABARA JIMBONI USHETU
SERIKALI inakusudia kuzifanyia ukarabati mkubwa barabara muhimu zilizopo katika jimbo la Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga ili kuwaondolea wananchi kero ya ukosefu wa mawasiliano ya uhakika …
HABARI ZA HIVI PUNDE: HATIMAYE MUGABE YAMETIMIA
Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe hatimaye amekubali kujiuzulu kabla ya Bunge la Zimbabwe kumuondoa madarakani. Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe.Habari za kujizulu kwake zimetangazwa …
MWENYEKITI BARAZA LA ARDHI ATUPWA LUPANGO
MAHAKAMA ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu Mwenyekiti wa Baraza la ardhi na Nyumba katika wilaya hiyo, Mdimi Ilanga kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh Milioni 1.4 baada ya kupat…
HABARI ZA HIVI PUNDE: PAPA FRANCIS ATEMA "CHECHE" VATICAN, ATETEA AFYA ZA WAUMINI
Makao Makuu ya Vatican City. Papa Francis ameagiza marufuku ya uuzaji wa sigara ndani ya Vatican , kuanzia mwaka ujao. …
HABARI MPYA: BWANA HARUSI ATWANGWA RISASI SEHEMU NYETI MUDA MFUPI BAADA YA KUFUNGA NDOA
Bwana harusi mmoja chini Misri amepatwa na bahati mbaya ya ajali siku moja kabla ya harusi yake. …
BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATEUA GAVANA MPYA WA BENKI KUU NCHINI
Profesa Benno Ndulu. RAIS Dkt. John Pombe Magufuli leo hii amemteua Profesa Florenss Luoga kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania badala ya Profesa Benno Ndulu ambaye ameombwa kukabidhi ofisi haraka. …
KIVULINI WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE KWA KUTOA MAFUNZO KWA WANAMABADILIKO - SHINYANGA.
Vaileth Elisa - Ofisa miradi msaidizi - Shirika la Kivulini akiendesha zoezi la utambulisho kwa washiriki. SHIRIKA la Kivulini (Women’s Rights Organization) lenye makao yake jijini Mwanza limeadhimis…
BREAKING NEWS: MANJI AACHIWA HURU, SERIKALI YASEMA HAINA SHIDA YA KUENDELEA NA KESI
MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI DAR, YUSUF MANJI NA WENZAKE WATATU WAACHIWA HURU. …
WATU WASIOJULIKANA WAFANYA VITU VYAO TENA
KATIKA AMBAYO INAONESHA KUANZA KUZOELEKA HAPA NCHINI, WATU WASIOJULIKANA WANADAIWA KUVAMIA OFISI ZA YUSSUF MANJI JIJINI DAR, Tumekuwekea link hapa fungua: https://www.jamiiforums.com/threads/ofisi-y…