Aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe hatimaye amekubali kujiuzulu kabla ya Bunge la Zimbabwe kumuondoa madarakani.
Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe.

Habari za kujizulu kwake zimetangazwa rasmi na Spika wa bunge la Zimbabwe.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

21 Nov 2017

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top