Waziri Mkuu mstaafu, Mh. Fredreck Sumaye
 
JAMANI!!!! JAMANI!!!! JAMANI!!! HIVI SHERIA YA ULIPAJI MAFAO WANASIASA WANAOSTAAFU MASUALA YA KISIASA, MFANO WAZIRI MKUU!! HAPA NCHINI IKOJE!!!?


NG'WIGULU NCHEMBA - STOOOOPISHA MALIPO KWA WASTAAFU WOOOOOTE WANAOLIPWA MAFAO YA KUSTAAFU, MAANA WAMEAMUA KUREJEA KWENYE ULINGO WA SIASA, WAACHE KUTUIBIA FEDHA ZETU!!!

VINGINEVYO LAANA YA MUNGU  ITAWASHUKIA!!!! WACHAGUE KUBAKI KWENYE USTAAFU, WAENDELEE KULIPWA AU KUREJEA KWENYE SIASA, MALIPO YAPIGWE STOOOOOP!!!

NDIYO UTARATIBU JAMANI!!!!!

Tutafakari!!!!!!
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top