WASWAHILI WALISEMA ASIYE NA MWANA AELEKE JIWE!!!
NI KWELI IDD PILI ITAKUWA KAZI KWELI KWELI BAADA YA YULE BINGWA WA
KUFANYA MAJAMBOZZZZ!!! KATIKA MJI WA SHINYANGA KUKUANDALIA BOOOONGEEEE YA PARTY LA NGUZU!! AH, LA NGUVU BWANA AMBAPO ATAKUTEREMSHIA MAMBO YA IDD KATIKA UKUMBI WA NSSF MJINI SHINYANGA.
NANI HAOOOOOO!!! SI USEMEE BASI BWANA!!!??
TULIA ACHA HARAKA, HAO SI WENGINE NI:
LEWIS ENTERTAINMENT WA MJINI SHINYANGA
WATAWAWEKA UWANJANI:
Wasanii wa music wa Bongo Flavour na wale wa music wa Dansooooo, mwanawane!!!!
Angalia mwenyewe baba, mama, dada, mjomba, naaaaa:-
![]() | |||
Hapa ndiyo mambo yote, soma na anza kuweka mkwanja mwanawane!!! Si nimekwambia mambo yote IDD Pili sasa ulikuwa unabisha nini wangu?? yaani U S I K O SEEEE!!! |
Post a Comment