Mjukuu Suleiman Abeid Suleiman Hassan Abeid. |
MUHIMU TUMUOMBE YEYE MWENYEWE ALLAH ATUPOKELEE FUNGA YETU, NA ATUWEZESHE PIA KUIONA RAMADHANI NYINGINE IJAYO, LAKINI PIA ATUKINGE NA KILA VISHAWISHI AMBAVYO VITAWEZA KUSABABISHA KUINGIA KATIKA KUTENDA DHAMBI.
EEEH!! YA ALLAH TUKUBALIE DUA ZETU ZOTE TULIZOKUOMBA KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.
AMEEN RABIL AMEEN!
Post a Comment