MAMBO YA USAFIRI WA TANZANIA - VIJANA WAKISAFIRISHA MAZAO YAO KWA KUTUMIA USAFIRI WA PUNDA!!!

Hapa ni katikati ya mji wa Shinyanga, vijana wakionekana wanasafirisha magunia ya mpunga kwenda kukoboresha mashineni - Tabia ya kuvunja sheria kwa kukaa juu ya mizigo kumbe siyo kwenye malori pekee bali hata kwa usafiri wa wanyama kazi inawezekana.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top