Waziri wa zamani katika serikali ya awamu ya nne, Christopher Chiza.


#‎Habari‬:


Mahakama kuu kanda ya Tabora imetupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Buyungu kesi iliyofunguliwa na Waziri wa zamani injinia Christopher Chiza dhidi ya mbunge wa CHADEMA.

Chanzo:  Kituo cha ITV.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top