Fahali avutishwa bangi
kupigana
Fahari aliyepewa jina la Messi alimcharaza mpinzani wake Simba na
kudhihirisha ubabe wake.
Fahari huyo alipewa jina hilo la utani la Messi kuonyesha umarufu wake wa
kupigana kama mchezaji hodari wa kandanda wa klabu ya Barcelona Lionel Messi.
Pigano hilo la mafahali wawili lilifanyika katika uwanja wa Bukhungu kaunti ya
Kakamega eneo la magharibi nchini Kenya mwishoni mwa wiki iliyopita.
Hata hivyo baadae ilibainika kuwa katika pamoja hilo fahali mmoja alivutishwa bangi ili ashinde pambano.
BBC News.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.