Kamba iliotumiwa kumyonga aliyekuwa rais wa Iraq marehemu Saddam Hussein imedaiwa kuuzwa kwa zaidi ya dola millioni 4.
Licha
ya Saddam kunyongwa mwaka 2006,watu bado wanamuenzi na mtu mmoja
amejitolea kulipa dola millioni 7 kununua kamba hiyo iliokatiza maisha
ya kiongozi huyo wa zamani.
Kulingana na gazeti la Metro, baadhi ya watu matajiri wanaoitaka kamba hiyo wanatoka mataifa ya Kuwait, Iran na Israel.
Kamba
hiyo kwa sasa inamilikiwa na Dr Mowaffak al-Rubaie,mshauri wa usalama
wa zamani nchini Iraq,ambaye aliongoza eneo ambalo rais huyo wa zamani
aliuawa.
Aliamua kuihifadhi kamba hiyo baadaye na sasa anataka zaidi ya dola millioni 7 kuiuza kamba hiyo.
Chanzo: BBC News!!!
Soma Pia Habari Hizi Hapa
- HABARI ZA HIVI PUNDE: PAPA FRANCIS ATEMA "CHECHE" VATICAN, ATETEA AFYA ZA WAUMINI10 Nov 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
- KIVULINI WAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE KWA KUTOA MAFUNZO KWA WANAMABADILIKO - SHINYANGA.11 Oct 20170
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4...Read more ?
- WANA CHADEMA KANDA YA SERENGETI WATOA TAMKO LA KUMLAANI MTU ASIYEJULIKANA10 Sep 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
- MAAJABU YA DUNIA, ETI MBU NAO HUVUTIWA NA VITU VITAMU!!!24 Aug 20170
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...Read more ?
- BREAKING NEWS: MOTO WATEKETEZA MABANDA YA MBAO SHINYANGA29 Apr 20170
Moja ya banda la kuuzia mbao katika eneo la Soko la Kambarage manispaa ya Shinyanga likiwa lote ...Read more ?
- HABARI NYEPESI NYEPESI: BAADA YA HALI KUWA NGUMU, WAZAZI SASA KULIPA KARO ZA SHULE KWA MBUZI NA KONDOO!!23 Apr 20170
Normal 0 21 false false false SW X-NONE X-NONE ...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.