NGUVU YA UMAA!! |
HALA!!! HALA!!! HALA!! NDUGU ZANGU, LUSINDE, LISSU, NA WENGINE WOOOOOTE MJENGONI!!! BUSARA ITAWALE ZAIDI BADALA YA USHABIKI WA KISIASA, MNATUPELEKA PABAYA!!!
SERIKALI, TUMIENI KWA HAKI JESHI LA POLISI!!! DHIBITINI WANAOTUULIA POLISI WETU BILA SABABU NA KUONDOKA NA SILAHA ZINAZONUNULIWA KWA KODI ZA WALALAHOI!!!
ENZI ZA MWALIMU ILIPOTOKEA KUPOTEA BUNDUKI MOJA, WEEE ILIKUWA BALAA!!! HAIKUCHUKUA MUDA ILIPATIKANA!!!
AMANI KWANZA!!! USHABIKI WA VYAMA VYA SIASA BAADAE!!!
Post a Comment