UKAWA kujitoa kwenye KURA YA MAONI kuhusu KATIBA PENDEKEZWA kutokana na sababu zifuatazo;

1. Mchakato ulikuwa ni batili
2. Uchakachuaji kwenye kupitisha vifungu vya katiba pendekezwa kwenye BMK
3. Daftari la wapiga kura kutoboreshwa hadi sasa
4. Dokta yule Profesa wa Tanzania kukiuka na kudharau makubaliano na UKAWA kuwa kura ya maoni ipigwe baada ya uchaguzi mkuu 2015.

Je, wewe unasemaje kuhusu maamuzi hayo?
VIONGOZI WA UKAWA MUDA MFUPI BAADA YA KIKAO CHAO KILICHOFIKIA MUAFAKA WA KUSUSIA UPIGAJI KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA PENDEKEZWA.

WATAJA SABABU ZA KUSUSIA UPIGAJI KURA KUWA NI PAMOJA NA MAPUNGUFU HAYA:-



             1. Mchakato ulikuwa ni batili

             2. Uchakachuaji kwenye kupitisha vifungu vya katiba pendekezwa kwenye BMK.


             3. Daftari la wapiga kura kutoboreshwa hadi sasa.


             4. Dokta yule Profesa wa Tanzania kukiuka na kudharau makubaliano na UKAWA     kuwa kura ya maoni ipigwe baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, kama walivyokubaliana kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa (TCD), Mzee Cheyo akiwa mwenyekiti wao.



Je, wewe unasemaje kuhusu maamuzi hayo?

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top