Mahakama ya rufaa imeunga mkono kutupiliwa mbali kwa baadhi ya vipengere kwenye sheria hiyo na mahakama ya chini hadi kesi ya kuipinga sheria hiyo iliowasilishwa na upinzani itakapoamuliwa.


Wanaoipinga sheria hiyo wanaitaja kuwa ya kukandimiza uhuru wa habari kwa kuruhusu mawasiliano kuzimwa bila amri ya mahakama na washukiwa kuzuiliwa hadi mwaka mmoja bila ya kufunguliwa mashtaka.

Mawaziri nchini Kenya wanasema kuwa sheria hiyo mpya itasaidia kupambana na wanamgambo wa al Shabaab.

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top