Angola
imeripoti visa viwili vya kwanza vya ugonjwa wa Zika kwa mujibu wa shirika la
Reuters.
"Hadi
miezi miwili iliyopita, hatukuwa na kisa chochote, lakini sasa tuna visa viwili
vya Zika," Reuters ilimnukuu waziri wa afya wa nchi hiyo José Luis Gomes
Sambo.
Lazima tuchukue
hatua za kuzuia, hasa katika kukabiliana mbu."
Zika ni ugonjwa
unaosambazwa na mbu na umesembaa kwenda nchi kadha tangu uibuke nchini Brazil
mwaka 2015.
Ugonjwa huo
unaaminiwa kusababisha madhara kwa watota wanaozaliwa.
Chanzo: BBC Swahili
Post a Comment