CCM walikula ya mbuzi wakaota mapemba.
Huo ni mkutano wa hadhara unaoendelea hapa Iringa mjini
ukiongozwa na mchungaji Peter Msigwa Iringa mjini pamenuka CCM jiandaeni kuwa
wapinzani sio kila chenye manyoya kinaliwa.Wapi Mwakalebela siasa sio mpira, wapi John Pombe Magufuri siasa sio kukariri desmal na kilomita za barabara tuonane October 25, 2015.
shikamoo chadema!!!
Source:
Mdude Chadema.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.