PROFESA MUHONGO: - NIKIJIUZULU NCHI ITATIKISIKA!
                             JAMANI HAYA MANENO MNAYAKUMBUKA!!!?


HAYA NIPASHENI TAARIFA AMBAO MPO HUKO NYUMBANI TZ, MAANA NASIKIA YULE PROFESA TAYARI KAACHIA NGAZI!!! JE! NI KWELI NCHI IMETIKISIKA???

NA SERIKALI YETU IMEJIPANGA VIPI KUKABILIANA NA MTIKISIKO ALIOUTAJA IWAPO KWELI UTATOKEA???

AU ILIKUWA NI DANGANYA TOTO TU!!!!
 
(Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo tu bunge litayumba).
bali ardhi ya Tanzania itatikisika, kwa sababu anazo data za uhakika kuonyesha hili swala la IPTL ni mpango uliosukwa na madalali walionyimwa vitalu vya gesi na wale walivuliwa uwakilishi wa tanesco kisheria).
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top