ALLY MASOUD MASWANYA.

Mkuu wa Wilaya (DC) Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiondoa katika nafasi hiyo ya U-DC.

Badala yake, DC aliyekuwa Kongwa, John Ernest Palingo anakwenda kuwa DC Mbozi, na Kongwa itasubiri uteuzi mpya.

Kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya, Masoud Maswanya alikuwa Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa.

RC Chiku Galawa athibitisha kupata taarifa kutoka Ikulu ya kumwapisha John Palingo kuwa DC wa Mbozi, asema hana taarifa za Ally Maswany.

Chanzo mtandao wa kijamii: JF.


Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top