HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE, INASEMEKANA MSAFARA WA EDWARD LOWASSA KUELEKEA KWENYE MSIBA WA MAREHEMU PETER KISUMO, UMEPIGWA 'STOP' -  Habari kamili zitawajia kadri zitakavyopatikana!!!

Polisi Mwanga wazuia msafara wa Lowassa na Mbatia usiende mazikoni.Wataka gari mbili tu ziende,mengine(zaidi ya 100 na bodaboda) zisipande.

Source: Mitandao ya Kijamii.
Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Asante kwa kutembelea mtandao huu

Post a Comment

 
Top